Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama kwa kushirikiana na Klabu ya Simba, imeanza rasmi zoezi la uchangiaji damu kuanzia jana na litaendelea hadi Septemba 10, 2025, kuelekea maadhimisho ya Simba Day. ...Read More

Sep 3rd, 2025