Mganga Mkuu wa Serikali afanya ziara katika Kituo cha Mpango wa Taifa wa Damu Salama – Kanda ya Ziwa
Mganga Mkuu wa Serikali amefanya ziara katika kituo cha Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) Kanda ya Ziwa kwa lengo la kukagua na kujionea hali ya utoaji huduma za damu salama katika eneo hilo. Katika ziara hiy...Read More



